Home » MP3 Download

MP3 Download

Baada ya kufanya muziki kwa miaka zaidi ya 15 na kufanikiwa kupata mafanikio makubwa sasa ni wakati rasmi wa kurudisha kwa jamii kwa kusaidia kukuza sanaa kwa kutambulisha na kuvipa support vipaji vipya kwa industry. Nawatambulisha kwenu vijana wangu Cheed, Killy, K2ga na Abdukiba kutoka record label yangu - King’s Music.

After a successful journey in my music industry, it is time to give back and nurture upcoming talent. I am thrilled to introduce to the young and talented musicians...

FREE NATION RECORDS proudly presents ALISEMA by Nay Wa Mitego. Audio Produced by - Mr LG, Love Touch,Aniwy lee Video shot in Tanzania by director - DEO ABEL

MMB present Dogo Janja
Wimbo - Imani
Msanii - Dogo Janja
Producer - Genius
Directed By Yoel Mrisho

Rostam (ROMA & STAMINA) - Kaolewa featuring Atan, Magic, Riyama Ally. Audio produced by Bea (Killi Records), Video directed by NiCKLASS in Dar Es Salaam, Tanzania. ALL RIGHTS RESERVED.

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Tid ameachia audio ya wimbo wake mpya aliomshirikisha Kasimu Mganga unaokwenda kwa jina la Washa.

Pages