Home » MP3 Download

MP3 Download

Ndugu zangu, rafiki zangu wapendwa mashabiki wa kweli kutoka Afrika Mashariki na kati na Afrika kwa ujumla ningependa kutoa shukrani za dhati kwa moyo wenu mlioendelea kuuonyesha katika kuniunga mkono kwa kazi zangu mbalimbali.

Nawaletea kwenu kazi ya wimbo mpya leo Tar. 20/01 kama nilivyoahidi kupitia mitandao ya kijamii na mahojiano ya radio na televisheni. Nawaomba muipokee Sizonje"

Pages