Home » Tanzania News

Tanzania News

Usiku wa August 26, 2017 Mliman City Dar es salaam kulikua na uzinduzi wa movie mpya ya Wema Sepetu na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo mastaa wa Bongo kama Aunty Ezekiel, Haruna Niyonzima na Idris Sultan. Haruna Niyonzima Mrembo Joan...
Mwigizaji wa Tanzania Wema Sepetu amefunguka ya moyoni kuhusu gumzo lililoibuka juzi kati na kuwahusisha Wakali wawili wa Bongofleva Alikiba na Diamond Platnumz na kusema ‘Kiba na Diamond ni wendawazimu, wananiudhi“ Unataka kujua mengine aliyoyasema...
Good News nyingine kwenye muziki wa Tanzania baada ya Waandaaji wa All African Music Awards ‘AFRIMA’ wametangaza list ya wasanii wanaowania tuzo katika vipengele mbalimbali kwa mwaka 2017 ambazo hujumuisha Mastaa kibao katika tasnia ya muziki wa...
mastaa wanaotembelea Tanzania imezidi kuongezeka licha ya wengi wao kutoweka wazi ujio na location wanapokuwa Tanzania lakini hii imekuwa tofauti baada ya mkongwe wa Filamu za mapigano Cynthia Rothrock ‘Lady Dragon’ kuamua kuweka wazi location na...
Baada ya story ya mwimbaji, Producer na mmiliki wa Sharobaro Records, Bob Junior kusambaa akidai kutupwa na rafiki yake wa muda mrefu Diamond Platnumz, Ayo TV na millardayo.com zimemtafuta. Kwenye EXCLUSIVE, Bob Junior amelalamika akidai kuwa...
August 25, 2017 mwimbaji staa wa Bongofleva Alikiba aliachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Seduce Me’ ambao umekuwa gumzo ambapo saa chache baadaye WCB wakiongozwa na Diamond Platnumz waliachia video yao mpya pia ‘Zilipendwa’ kitendo...
Muda mfupi baada ya mwimbaji staa Alikiba kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Seduce Me’ leo August 25, 2017, staa mwingine wa Bongofleva kutokea WCB, Diamond Platnumz amepost picha kwenye Instagram. Diamond amepost picha ya mtu akicheka kitu...
Dada wa mwimbaji Diamond Platnumz, Esma Platnumz ni miongoni mwa watu walioguswa na pengine kuumizwa na ujumbe wa Ommy Dimpoz kupost picha akiwa na mama yao na kuandika maneno ambayo hayajamfurahisha baada ya kutokea beef baina yake na Diamond...
Mwigizaji hodari wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt alikuja Tanzania kwa mapumziko ya siku 21 ambapo alitembelea Mbuga za Wanyama ikiwa ni miezi kadhaa baada ya kuachiwa huru kutoka gerezani. Source: MillardAyo
Mwimbaji wa RnB Ben Pol katika kuthibitisha kuguswa na ombi la mchekeshaji Ebitoke aliyetaka wafunge naye ndoa alipost picha kwenye Instagram yake na kuandika ujumbe wa shukrani kwa kuzipokea hisia zake. Sasa new story baada ya tukio hilo ni kwamba...

Pages