Home » News » BOB JUNIOR KAFUNGUKA: “Diamond hana ushirikiano na mimi”

BOB JUNIOR KAFUNGUKA: “Diamond hana ushirikiano na mimi”

Baada ya story ya mwimbaji, Producer na mmiliki wa Sharobaro Records, Bob Junior kusambaa akidai kutupwa na rafiki yake wa muda mrefu Diamond Platnumz, Ayo TV na millardayo.com zimemtafuta.

Kwenye EXCLUSIVE, Bob Junior amelalamika akidai kuwa Diamond hana mapenzi wala ushirikiano naye ingawa alifanya jitihada kubwa kuhakikisha ana msaidia kwenye muziki.

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza BOB JUNIOR

https://www.youtube.com/watch?time_continue=256&v=9jPWWFkAEUY

Source:MillardAyo

Add your comment