Home » News » Cynthia Rothrock kaongeza list ya Mastaa wa Dunia waliotembelea Tanzania

Cynthia Rothrock kaongeza list ya Mastaa wa Dunia waliotembelea Tanzania

mastaa wanaotembelea Tanzania imezidi kuongezeka licha ya wengi wao kutoweka wazi ujio na location wanapokuwa Tanzania lakini hii imekuwa tofauti baada ya mkongwe wa Filamu za mapigano Cynthia Rothrock ‘Lady Dragon’ kuamua kuweka wazi location na kusema yupo Visiwani Zanzibar.

Cynthia Rothrock ni mwigizaji aliyetamba sana na movie za mapigano kabla ya kutua Tanzania alipitia Kenya kisha kupost picha kwenye Instagram yake akiwa Zanzibar.

 

Source:MillardAyo

Add your comment