Home » News » Esma Platnumz kaingilia kati baada ya Dimpoz kupost picha ya Mama Diamond

Esma Platnumz kaingilia kati baada ya Dimpoz kupost picha ya Mama Diamond

Dada wa mwimbaji Diamond Platnumz, Esma Platnumz ni miongoni mwa watu walioguswa na pengine kuumizwa na ujumbe wa Ommy Dimpoz kupost picha akiwa na mama yao na kuandika maneno ambayo hayajamfurahisha baada ya kutokea beef baina yake na Diamond Platnumz.

Katika post hiyo ya Ommy Dimpoz, Esma aliweka comment ambayo ilikuwa onyo kwa staa huyo wa ‘Cheche’ akimwambia aache kumhusisha mama yake na ugomvi wake na Diamond.

Esma alicomment:>>>“Maugonvi yenu msimuingize na mama yangu plz kuwa na adabu tukaneni wenyewe but siyo mama yangu jiheshimu naona sasa unazid” – Esmaplatnumz.

 

Source:MillardAyo

Add your comment