Home » News » Sanjay Dutt aitembelea Tanzania, ahojiwa na Ayo TV

Sanjay Dutt aitembelea Tanzania, ahojiwa na Ayo TV

Mwigizaji hodari wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt alikuja Tanzania kwa mapumziko ya siku 21 ambapo alitembelea Mbuga za Wanyama ikiwa ni miezi kadhaa baada ya kuachiwa huru kutoka gerezani.

Source: MillardAyo

Add your comment