Home » News » Top Stories “Adhabu yake kifungo cha Miezi Sita” -Jebra Kambole

Top Stories “Adhabu yake kifungo cha Miezi Sita” -Jebra Kambole

Leo February 26, 2018 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya inatarajia kutoa hukumu ya kesi inayomkabili Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ya kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli itakayotolewa leo.

Wakili wa kujitegemea Jebra Kambole kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha na kumtakia heri Sugu katika hukumu ya kesi yake leo ambapo ameandika na kutabiri kuwa kutokana na Sheria iliyopo  “adhabu yake kifungo cha miezi sita”

 

Source: MillardAyo

Add your comment