Home » News » VIDEO: “Kiba na Diamond ni wendawazimu, wananiudhi” – WEMA SEPETU

VIDEO: “Kiba na Diamond ni wendawazimu, wananiudhi” – WEMA SEPETU

Mwigizaji wa Tanzania Wema Sepetu amefunguka ya moyoni kuhusu gumzo lililoibuka juzi kati na kuwahusisha Wakali wawili wa Bongofleva Alikiba na Diamond Platnumz na kusema ‘Kiba na Diamond ni wendawazimu, wananiudhi

Unataka kujua mengine aliyoyasema kuhusu wawili hao? bonyeza play hapa chini kutazama kila alichosema Wema Sepetu

https://www.youtube.com/watch?v=Bm3Htf8pZWE

Source:MillardAyo

Add your comment