Home » Tanzania News

Tanzania News

Muda mfupi baada ya mwimbaji staa Alikiba kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Seduce Me’ leo August 25, 2017, staa mwingine wa Bongofleva kutokea WCB, Diamond Platnumz amepost picha kwenye Instagram. Diamond amepost picha ya mtu akicheka kitu...
Dada wa mwimbaji Diamond Platnumz, Esma Platnumz ni miongoni mwa watu walioguswa na pengine kuumizwa na ujumbe wa Ommy Dimpoz kupost picha akiwa na mama yao na kuandika maneno ambayo hayajamfurahisha baada ya kutokea beef baina yake na Diamond...
Mwigizaji hodari wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt alikuja Tanzania kwa mapumziko ya siku 21 ambapo alitembelea Mbuga za Wanyama ikiwa ni miezi kadhaa baada ya kuachiwa huru kutoka gerezani. Source: MillardAyo
Mwimbaji wa RnB Ben Pol katika kuthibitisha kuguswa na ombi la mchekeshaji Ebitoke aliyetaka wafunge naye ndoa alipost picha kwenye Instagram yake na kuandika ujumbe wa shukrani kwa kuzipokea hisia zake. Sasa new story baada ya tukio hilo ni kwamba...
Leo November 15 2016 Heka Heka ya Leo Tena ndani ya Clouds FM imefanya muendelezo wa hekaheka ya jana iliyohusu mtoto ambaye alifika katika Studio za Clouds FM siku ya Ijumaa November 11 2016 na kukutana na Geah Habibu akiomba kukutanishwa na baba...
Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection, Tunda Man pamoja na mpenzi wake wa muda mrefu wamefanya ‘send-off’ wakijiandaa kuingia katika maisha ya ndoa. Alhamisi hii usiku zilisambaa picha katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha Tunda Man pamoja...
Najua nina watu ambao wanataka kufahamu vingi kutoka kwa Mkali Chris Brown tangu alipowasili Mombasa Kenya, sasa nimefanikiwa kuinasa hii ya bei ya chumba alicholala mkali huyo. Nilichoambiwa ni kwamba thamani ya shilingi milioni 3,230,700/= za...
Msanii mkongwe wa muziki aliyewahi kufanya vizuri na wimbo ‘Namba 8’ Daz Baba amewataka wasanii wenzake wakongwe kutothubutu kuiga muziki wa vijana wapya. Rapper huyo ambaye anajipanga kuachia kazi mpya hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa wasanii...
Majina ya washiriki katika  tuzo kubwa mbalimbali yamekua yakiendelea kutajwa na tuzo nyingine ambayo majina ya wanaowania  yametajwa ni tuzo za MTVEMA, ambazo Alikiba ametajwa kuwania kama msanii bora kutoka Afrika. Tuzo za ( MTVEMA ) MTV Europe...
Wiki moja uliyopita kulikuwa na mvutano wa kimawazo katika mitandao ya kijamii juu ya mkali wa wimbo ‘Aje’ AliKiba kuwa msanii wa ‘surprise’ katika show ambayo alitangazwa Diamond Platnumz kuprfome. Ijumaa hii meneja wa Diamond, Sallam amefunguka na...

Pages