Home » Tanzania News

Tanzania News

Anaitwa Rema Namakula maarufu kama Rema alianza kuimba kama back up artist wa staa mwingine wa Uganda aitwae Bebe Cool lakini alitimuliwa kazi baada ya Bebe kumuona kwenye TV akizungumzia muziki wake kitu ambacho Bebe hakuwa anakifahamu. Mwaka 2013...
Kuanzia siku tatu zilizopita stori kubwa kwenye kiwanda cha burudani Tanzania imehusu fujo zilizotokea Ujerumani kwenye show aliyokwenda kufanya Diamond Platnumz huko Stuttgart. Kilichotokea ni kwamba saa kumi alfajiri ndio promota alimpeleka...
Ilikua ni ndoa ambayo walifunga kwa siri, yani bila kuitangaza kwenye vyombo vya habari ambapo ishu nzima ilifanyika nchini Ufaransa na kuhudhuriwa na watu 22 peke yake. Mmoja wa watu wao wa karibu amesema wawili hawa kwa sasa wako serious kuhusu...
Kutoka TEMEKE Dar es salaam ninayofuraha kukutanisha na vijana ambao sauti zao ni maarufu sana kwenye Radio sasa hivi….. vijana wasiozidi miaka 25 ambao wako chini ya Mkubwa Said Fela wakiongozwa na Aslay ambapo hii ni single ya 4 kutoka kwenye hii...

Pages