Home » Tanzania News

Tanzania News

Vanessa Mdee ana ndoto kubwa. Ndoto yake siku moja, kuwa msanii kutoka Tanzania atakayeshinda tuzo za heshima, Grammy. Na sasa anaamini kuwa, mwanzo wa kukaribia kuiishi ndoto hiyo umewadia. Vee Money, ni mmoja wa wasanii wa Afrika, waliochaguliwa...
Maisha ni safari na hatutakiwi kukata tamaa kwa kuwa hatujui kesho yetu. Ukiisikia historia ya maisha ya mchekeshaji ambaye kwa sasa amekuwa mtangazaji wa Clouds FM, Kicheko unaweza kutokwa na machozi kama huna uvumilivu. Awali Kicheko alikuwa...
Akiongea na E! News ya EATV, Ray alisema wakati anashoot video hiyo, Wema Sepetu alikuwa busy hivyo ikambidi achukue moja ya clip ambazo walishoot wakiwa pamoja kwenye birthday party ya Romy Jons. “Mimi sina ugomvi na Wema ndio maana hata...
Yemi Alade, Ycee, Cassper Nyovest na Alikiba wanatarajiwa kuwasha moto kwa kutumbuiza kwenye kilele cha tuzo za MTV MAMA 2016. Tuzo hizo zitafanyika October 22, 2016, kwenye ukumbi wa Ticket Pro Dome, Johannesburg, Afrika Kusini. Rapper wa Afrika...
Vipengele vya tuzo mpya zilizoanzishwa na kituo cha runinga cha East Africa Televisheni, EATV Awards, vimetangazwa Ijumaa hii. Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio, Mkuu wa masoko wa kituo EATV,Roy Mbowe alisema tuzo hizo...
Staa wa muziki kutoka Nigeria, ataungana na wasanii wengine wa Bongo Fleva kulishambulia jukwaa la Fiesta Mwanza, Jumamosi hii. Staa wa muziki kutoka Nigeria, ataungana na wasanii wengine wa Bongo Fleva kulishambulia jukwaa la Fiesta Mwanza,...
Kama utakuwa unakumbuka 27/ 7/ 2016 Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) lilitoa tamko la kumfungia msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kutojihusisha na kazi ya sanaa kwa muda usijulikana Sasa leo August 15, 2016 baraza hilo limetoa tamko rasmi la...
Jokate Mwegelo amesisitiza kauli yake aliyoitoa kwenye Instagram mwezi uliopita kuwa anatamani kuona Alikiba na Diamond siku moja wanafanya collabo. Akiongea kwenye kipindi cha 5 Select cha EATV hivi karibuni, Jokate alidai kuwa ili collabo hiyo iwe...
Muigizaji wa filamu Bongo, Jada amepoteza kumbukumbu baada ya kupata ajali ya kujigonga ukutani akiwa location. Taarifa hiyo imetolewa na muongozaji wa filamu aliyokuwa anashoot, Leah Richard Mwendamseka maarufu kama Lamata kupitia kipindi cha Magic...
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameungana na mfuko wa ‘GSM Foundation’ wa kusaidia watoto wenye wenye matatizo ya Vichwa vikubwa (Bobble Head Syndrome). Diamond amechangia Million 20 kwenye mfuko huo ambao hadi sasa umesaidia watoto wengi...

Pages