Home » Tanzania News

Tanzania News

Dayna Nyange amesema kuwa tangu alipoachia wimbo wa ‘Nivute Kwako’ hakuwahi kuachia wimbo uliokuwa juu zaidi ya wimbo huo lakini wimbo wa’Angejua’umevunja rekodi hiyo. Akiongea na Bongo5, Dayna amesema kuwa wimbo wa ‘Angejua’ umemsaidia zaidi ya...
http://millardayo.com Msanii wa Bongofleva Chid Benz usiku wa June 15 2016 alipost picha za muonekano wake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutoka Sober house Bagamoyo, alipokuwa amekaa kwa siku kadhaa kama njia ya kuachana na matumizi ya madawa...
nakukutanisha na stori hizi za Entertaiment ambazo zimechukua Headlines na moja kati ya story za Entertaiment ambazo zimechukua Headlines ni hii ya Barnaba kwanini haingiagi na dancers kwa stage nakuunganisha na Perfecto TV, pia usisahau kuniachia...
Ni mwimbaji na dancer kwenye muziki wa bongofleva anaitwa Msami Giovani leo June 11, 2016 bila kujua kitachotokea baada ya kufanya mazoezi asubuhi, meneja wake aitwae Rehema amemfanyia suprise ya kumzawadia gari aina ya Toyota Ipsum yenye thamani ya...
Serikali ya Tanzania imepiga marufuku wimbo na kanda ya video ya muziki kwa jina chura wa msanii Snura Mushi kuchezwa katika vyombo mbalimbali vya habari hadi pale msanii huyo atakapoufanyia marekebisho wimbo huo. Vilevile Serikali imesitisha...
Barbershop ndiyo movie mpya itayoanza kuonyeshwa leo dunia nzima kwenye theater mbalimbali ambayo  wameshiriki mastaa wa kimarekani akiwemo, Nick Minaj, Common, Tyga, Ice Cube, Eve na wengineo.Kama vipi ungana na dunia nzima ukaangalie movie hiyo...
Msanii wa Bongefleva ambaye jina lake lilianza kushine kwenye game ya muziki wa Bongofleva toka akiwa na umri mdogo Mr. Blue, amerudi kwenye headlines baada ya kupost kupitia account yake ya instagram na kuelezea hisia zake kuhusu wimbo mpya...
You become powerful when you don't let people steal your joy & happiness or let negativity affect you or your life. Stay unbothered and you'll stay happy When she's got your back like that after your performance coz she is a self made Queen who...
Asubuhi ya Jumapili April 24 2016 headlines za taarifa za kifo cha mwimbaji mkongwe kutoka Congo DRC Papa Wemba alifariki  baada ya kuanguka jukwaani akiwa anatumbuiza huko Abidjan Ivory Coast. Sasa hapa tumempata meneja wa Diamond Platnumz, Sallam...
Nikama wanagawana furaha kwani mara baada ya Mr.Blue kufunga ndoa na his long time baby mama Wahida,aliekua mpenzi wake back in the days,Naj Dattan yupo kwenye mahaba mazito na hit maker wa single ya “Siwezi” Baraka da Prince.Kupitia akaunti yake...

Pages