Home » Tanzania News

Tanzania News

Kundi la  ‘Navy Kenzo’ limepata shavu la ubalozi wa promotion mpya ya Airtel ‘Jipime Airtel Yatosha’. “Tunapenda kuwataarifu rasmi kama Navy Kenzo ni Ambassador wapya wa #JipimieAirtelYatosha ambayo ni bundle mpya na za kipekee wewe kama mteja...
Roma Mkatoliki ni msanii maarufu wa hiphop Tanzania ambaye kwenye upande wa pili wa maisha ameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa longtime ambaye wana mtoto pamoja (Ivan) na April 9 2016 ndoa imefungwa nyumbani Tanga na ni baada ya send-off...
Je mpenzi wa zamani wa Diamond Platinumz bi Wema Sepetu kapata mchumba? Kulingana na ujumbe uliochapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram na mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Big Brother Idris Sultan, Wema sio tu eti keshapata...
WhatsApp imetangaza kuwa inaachana na mpango wa kuwalipisha watumiaji wake $1 kwa mwaka lakini imehaidi haitatumia matangazo kujiingizia kipato. Ikumbukwe kuwa watengenezaji wengi wa application wamekuwa wakitumia mtindo wa matangazo ili kujiingizia...
Mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Star, Mayunga amewasili kwa mara ya kwanza kwenye ofisi za Universal Studios, Hollywood nchini Marekani. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mayunga alipost picha na kuandika “Kwa mara ya kwanza ndani ya...
Msanii wa Bongo Fleva , Hamis Mwinjuma aka Mwana FA amesema pamoja na kwamba tasnia ya muziki inabadilika, hawezi kuwaunga mkono wasanii wanaopoteza misingi ya muziki wa Hip Hop kwa kivuli cha kutengeneza pesa. “Iko so obvious muziki umebadilika...
Lipsticks ni kama urembo kwa wanawake wengi na wengine wanapaka tu ili wafanane na rangi za nguo zao, wenyewe wanaita matching lakini kuna ukweli nyuma ya rangi hizo na nitajaribu kuchambua rangi mbalimbali ambazo wanapaka watoto wa kike siku hizi....
Msanii wa Filamu na Muziki aina ya Afro Pop hapa Tz maarufu kwa jina la H Baba ambaye ni mume wa Flora Mvungi, mwenye utaratibu wa kuandaa tuzo katika familia yake Amepiga story na mwandishi wetu kuhusiana na yeye kuendelea kuzikosa tuzo za Muziki...
Kwenye headlines za burudani weekend iliyopita zilikuwa ni tuzo za muziki za All African Music Awards 2015 maarufu kama AFRIMA Awards zilizokuwa zinatolewa usiku wa jumapili (November 15) Lagos, Nigeria ambapo kutoka Bongo Flevani, Tanzania...
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars bado haina hali nzuri sana ya kujihakikishia inashinda mchezo wake wa marudiano dhidi ya Algeria, baada ya mchezo wa kwanza uliyochezwa November 14 Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kumalizika kwa sare ya goli 2-2,...

Pages