Home » Tanzania News

Tanzania News

Lipsticks ni kama urembo kwa wanawake wengi na wengine wanapaka tu ili wafanane na rangi za nguo zao, wenyewe wanaita matching lakini kuna ukweli nyuma ya rangi hizo na nitajaribu kuchambua rangi mbalimbali ambazo wanapaka watoto wa kike siku hizi....
Msanii wa Filamu na Muziki aina ya Afro Pop hapa Tz maarufu kwa jina la H Baba ambaye ni mume wa Flora Mvungi, mwenye utaratibu wa kuandaa tuzo katika familia yake Amepiga story na mwandishi wetu kuhusiana na yeye kuendelea kuzikosa tuzo za Muziki...
Kwenye headlines za burudani weekend iliyopita zilikuwa ni tuzo za muziki za All African Music Awards 2015 maarufu kama AFRIMA Awards zilizokuwa zinatolewa usiku wa jumapili (November 15) Lagos, Nigeria ambapo kutoka Bongo Flevani, Tanzania...
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars bado haina hali nzuri sana ya kujihakikishia inashinda mchezo wake wa marudiano dhidi ya Algeria, baada ya mchezo wa kwanza uliyochezwa November 14 Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kumalizika kwa sare ya goli 2-2,...
Baada ya kufanya vizuri kwenye hit single  ya Cheza kwa Madoido sasa time hii Yamoto Band wamefanya collabo na wasanii kutokea Nigeria maarufu kama Bracket. Akizungumza kwenye exclusive interview  na Ayo TV Asley alithibitisha kwamba waliombwa...
Chati ya muziki ya Kituo cha Television cha Kimataifa, Trace Urban imekamilika jumamosi kwa kuzisogeza ngoma zote kali zilizofanikiwa kuingia kwenye Top 30 jumamosi November 14 2015. Hapa nina list ya midundo iliyogusa namba 15 za juu kwenye chati...
’Actually kwa wengine wamepokea kitofauti tumepata mitazamo tofauti kuhusiana na hili tulivyokutana mara ya kwanza kama kamati  chini ya mwenyekiti wetu Bw. Juma Kenzo tukashauriana kwamba ni kitu gani ambacho kitaweza kuboresha mashindano ya Miss...
Msanii wa Hip Hop kutoka Bongo Roma Mkatoliki, amesema yeye hana taarifa rasmi za kufungiwa kwa wimbo wake aliouchia hivi karibuni wa ‘Viva roma’ Kupitia ‘Planet Bongo’ ya East Afrika Radio amesema hana taarifa yoyote aliyopokea kutoka BASATA kuhusu...
Mabasi 138 ya Mwendo Kasi (BRT), yamewasili katika Bandari ya Dar es Salaam kutoka nchini China. Kuwasili kwa mabasi hayo kutasaidia kupunguza tatizo la usafiri katika Jiji la Dar es Salaam. “Tumefikia hatua nzuri na naipongeza Kampuni ya Uda Rapid...
September 21 2015 moja ya stori kubwa iliyogusa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania ni ishu ya Hukumu ya kesi ya Mwimbaji wa Gospel Tanzania, Emmanuel Mbasha ambapo alikuwa anakabiliwa na Kesi ya kumbaka shemeji yake na kesi imekuwa Mahakamani...

Pages