Home » Tanzania News

Tanzania News

Hemedy PHD ametoa orodha ya nyimbo 18 zitakazo kuwepo kwenye Album yake ‘Virgo’ itakayotoka mwezi February mwakani. Hata hivyo hajaweka wazi collabo japo ameahidi kuzitangaza hivi karibuni. Hii ndio orodha kamili ya Nyimbo zitakazo kuwepo kwenye...
Mkali wa “Looking for you” Juma Jux amesema kuwa mpenzi wake Vanessa Mdee amembadilisha sana na ameanza kufikilia kumuoa tofauti na alivyokua na wasichana wengine. Jux alisema hayo siku ya jana kwenye Kipindi cha “Ala za roho” cha Clouds Fm ambapo...
Mama wa mitindo nchini Tanzania maarufu kwa jina la Asya Idarous ambaye yupo kwenye ziara yake nchini Marekan, amefanikiwa kupata shavu la kufanya Fashion show ambayo huwa anaifanya hata akiwa hapa Home Tz maarufu kama 'Khanga Party’ Asya anategemea...
Baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu golikipa mkongwe na mahiri Juma Kaseja kuwa bila timu na kuhusishwa kujiunga na vilabu mbalimbali hatimaye uvumi huo umemalizika August 19 baada ya kusaini mkataba wa miezi sita wa kuitumikia klabu ya Mbeya...
Good news ninayotaka kukusogezea ni hii ya msanii mkongwe wa Hip Hop, Joseph Haule a.k.a Professor Jay naye amechukua fomu ya kuwania Ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)  katika jimbo la Mikumi mkoani MorogoroTaarifa hizi...
  Hii ni taarifa ya BASATA kwa vyombo vya habari iliyotolewa Jumatatu hii: Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limelifungulia shindano la urembo la Miss Tanzania baada ya mwandaaji wake Kampuni ya LINO International Agency Limited kufuata taratibu,...
Tuzo za kimataifa kwa wasanii wa Tanzania zinazidi kuongezeka siku hadi siku. Vanessa Vee Money anawania kipengele cha ‘Best International African Female Artist’ kwenye tuzo za African Entertainment Awards (AEA). Muimbaji huyo wa ‘No Body But Me’...
Kumegunduliwa powerbank ambazo zinaokoa sana watumiaji wa smartphone, lakini ubunifu haujaishia hapo… sasahivi zimekuja mpaka jeans, ndio…. Unavaa suruali yako fresh kabisa alafu unatundika na smartphone yako na betri yake inaendelea kuingiza chaji...
Kampuni inayomsimamia Alikiba, Rockstar4000 imetangaza kuwa msanii huyo atamshirikisha msanii wa Marekani, Ne-Yo. Imetoa tangazo hilo kupitia Instagram. “Exciting News: African superstar Alikiba will be collaborating with International Superstar Ne-...
Meneja wa TMK Family pamoja na Mkubwa na Wanawe, Said Fella amesema kuwa anatamani angepata nafasi ya kufanya kazi na muimbaji Barnaba japo kwa miezi sita. B n F Fella ambaye amevumbua vipaji vya vijana wengi wa Temeke wakiwemo Yamoto Band, amesema...

Pages