Home » Tanzania News

Tanzania News

Msanii wa Maigizo, Wema sepetu amebuka na kujibu tuhuma za Nuh kuwa amemuharibia penzi lake na shilole kwa kuamua kuvujia Audio inayosikika akimtongoza, kupitia mtandao wa Instagram, Wema amefunguka “Naitwa Wema Sepetu na ntabaki kuwa Wema Sepetu…...
Msanii wa filamu, Irene uwoya amepita kwenye kura za maoni kwa kishindo, amepita kwa zaidi ya asilimia 90 ya kura zote za maoni za kugombea ubunge wa viti maalumu mkoa wa Tabora .
Ligi Kuu soka Tanzania bara kwa miaka kadhaa nyuma kabla ya kuzaliwa kwa klabu ya Azam FC ilikuwa ni ligi ambayo ina ushindani wa kweli kwa timu mbili pekee Simba na Yanga ndizo zilizokuwa na uwezo wa kutwaa taji la Ligi Kuu kwa kupokezana kama sio...
Aliekua mshindi wa aitel Trace mwaka 2015 Mayunga kutoka Tanzania ameanza vizuri kwani siku ya ijumaa kituo kikubwa cha kimataifa “Trace” itazindua video yake aliyo ishoot South Africa.
Msanii Ksher kapita kwenye Ubunge, Wastara na Wema Sepetu kura hazikutosha. Ksher 12015 tumeshuhudia mastaa mbalimbali wa kike na wa kiume Tanzania wakitangaza nia ya kuingia bungeni akiwemo mwimbaji wa Taarab Mzee Yusuf, Profesa Jay, Steve Nyerere...
Mwana mitindo kutoka code ya 255 Tanzania ambae aliweza kushinda tuzo ya BET mwaka huu 2015 kama mwana mitindo anaejituma na ikiwa kama tuzo ya kwanza kwa kwa kipengele hicho cha Global good award alipoenda Washington DC nchini marekani ndipo...
Mwanamuziki ambaye ni mkongwe pia akiwa kwenye top 10 ya wasanii wenye mkwanja Afrika, mkali Jose Chameleone ni mmoja ya wanaogombea tuzo za MTV MAMA zinazotarajiwa kufanyika Julai 18 Jumamosi hii. Muda mfupi uliopita, muimbaji huyo wa ngoma ya “...
Nay wa Mitego amesema kufanana kwa video ya wimbo wake ‘Sina Muda’ na ile ya ‘Mr Nay’ sio kitu cha bahati mbaya bali ni kunatokana na damu ambayo amekuwa akiitumia kama alama kwenye video Nay wa Mitego akiwa katika utengenezaji wa video yake Mr Nay...
Nay wa Mitego amesema kufanana kwa video ya wimbo wake ‘Sina Muda’ na ile ya ‘Mr Nay’ sio kitu cha bahati mbaya bali ni kunatokana na damu ambayo amekuwa akiitumia kama alama kwenye video Nay wa Mitego akiwa katika utengenezaji wa video yake Mr Nay...
AY alimtafuta muongozaji maarufu wa video za muziki wa Afrika Kusini, Godfather kwenye mtandao.                                                                           Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky, AY alisema kilichomsukuma kutaka...

Pages