Home » Tanzania News

Tanzania News

Vanessa Mdee amesema anawashangaa wasanii wa Tanzania na Afrika kwa ujumla wanaolalamika kuwaona wasanii wao wakipewa tuzo kabla ya show ya BET. Vanessa Mdee ambaye ni mmoja wa majaji wa tuzo hizo, amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa BET...
Mkalii wa “Cheketua” KingKiba kama anavyojiita amesema amepitia maisha magumu mpaka amepata mafanikio na anashangaa kwa nini watu wanasema anaringa lakini iwapo atawaambia ugumu wa maisha aliyopitia mtasema bora alinge tu. Amesema hayo kwenye...
Diamond Platnumz ameendelea kutajwa kuwania tuzo mbalimbali barani Afrika, akiwa ni miongoni mwa wanaowania tuzo za MAMA zitakazotolewa mwezi huu, muimbaji huyo wa ‘Nana’ ametajwa kuwania tuzo zingine za Uganda zijulikanazo kama Uganda Entertainment...
Ali Kiba  ni staa mwingine mkali wa muda mrefu kwenye Bongo Fleva… Hit ya Chekecha Cheketua ni moja ya single ambazo mtaani wanaisubiri video yake kwa hamu sana. Sasa good news ninayotaka kukusogea ni kwamba video hiyo mpya iliyotayarishwa Afrika...
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa eo ameushukuru uongozi wa shirikisho la soka nchini TFF kwa kumteua kushika nafasi ya kukiongoza kikosi cha timu ya taifa kwa kusaidiana na kocha kutoka visiwani Zanzibar Hemed Morocco...
Staa wa Muziki TZ  ambae usiku wa June 13 2015 aliingia kwenye headlines kubwa baada ya kuibuka na ushindi wa jumla ya Tuzo SITA kuonesha jinsi ambavyo watu wake mtaani wamemkubali kwenye ujio wake mwingine baada ya kimya cha muda mrefu. Ali Kiba ni...
MziwandaNATIONHuwa ni mara chache sana utasikia staa au mtu maarufu kajitokeza au kakubali kuweka wazi kuhusu sehemu aliyowahi kuharibu au kufeli kwenye maisha. Kwenye muziki wa bongofleva tunae Nuh Mziwanda ambaye pia ni boyfriend wa msanii Shilole...
Ame Ally Zungu aliyesajiliwa na Azam FC akitokea Mtibwa Sugar, ameanza rasmi mazoezi na kikosi chake hicho kipya kilichomkabidhi jezi namba 24 iliyokuwa ikivaliwa na Gaudence Mwaikimba aliyejiunga na JKT Ruvu. Amme ameungana na wenzake na kupiga...
a Kitu Bora Katika Tuzo” A.Y   Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music ni tuzo kubwa zikiwa ni za pili barani Afrika, tuzo hizi zilifanyika tarehe 13 Juni 2015 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam, baada ta tuzo hizo kutolewa ni wazi kwamba...
MTV MAMA 2015     Diamond Platnumz na Vanessa Mdee a.k.a Vee Money ndio wasanii wa Tanzania waliotajwa kuwania tuzo kubwa Afrika za MTV Africa Music Awards KwaZulu-Natal 2015 (MAMA). Diamond anawania vipengele vitatu ambavyo ni Best Male Act, Best...

Pages